• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wataalam wa China wafanya ushirkiano na nchi mbalimbali kukabiliana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-03-19 18:47:55

    China imefanikiwa kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa nimonia inayosababishwa na virusi vipya vya koronaCOVID-19, lakini nchi nyingi duniani zinaendelea kukabiliwa na changamoto za ugonjwa huo.

    Kutokana na hali hiyo, wataalam wa China wanafanya mawasiliano kwa njia ya video kubadilishana uzoefu wa kupambana na virusi hivyo. Hii leo, wataalam wa kupambana na virusi vipya vya korona wa mkoa wa Jiangsu wamealikwa na wataalam wa mashirika ya matibabu ya Spain, Ugiriki, Pakistan, Iraq, Lebanon, Uingereza na Marekani ili kubadilishana uzoefu wa kuapambana na virusi hivyo kwa njia ya video.

    Pia wataalam wa China na Sudan Kusini wamebadilishana maoni kuhusu kupambana na virusi hivyo kwa kupitia teknolojia ya mtandao wa 5G.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako