• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wadau wa kilimo cha maua wa Kenya watarajia kurejesha safari za ndege za mizigo kwenda China

    (GMT+08:00) 2020-03-20 09:19:19

    Baraza la maua la Kenya limesema maambukizi ya COVID-19 yanayoendelea yamepunguza kwa asilimia 80 mauzo ya maua ya Kenya na sekta hiyo inatarajia kurejeshwa kwa safari za ndege za mizigo kwenda China katika wiki tatu ijayo. Mkurugenzi mkuu mtendaji wa baraza hilo Bw. Clement Tulezi, amesema hivi sasa Kenya inaweza kuuza tu maua kwa Uingereza na Ujerumani barani Ulaya, ambayo inachukua zaidi ya asilimia 70 ya mapato yote ya mazuo ya maua kwa nchi za nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako