• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Syria yazihimiza Marekani na Ulaya kuondoa vikwazo dhidi ya nchi hiyo

    (GMT+08:00) 2020-03-20 09:20:19

    Wizara ya mambo ya nje ya Syria imezihimiza Marekani na Umoja wa Ulaya kuondoa vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Syria, ili kuiwezesha nchi hiyo kukabiliana na maambukizi ya COVID-19 yanayokithiri siku hadi siku. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na wizara hiyo, baadhi ya hatua za vikwazo hivyo zimekiuka haki za binadamu na kanuni za kibinadamu, na kuathiri vibaya maisha ya watu wa Syria na juhudi za kukabiliana na maambukizi hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako