• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wataalamu wa mkoa wa Mongolia ya ndani watoa mafunzo juu ya COVID-19 kwa timu ya madaktari wa China nchini Rwanda

    (GMT+08:00) 2020-03-20 09:38:28

    Wataalamu wa mkoa wa Mongolia ya ndani wametoa mafunzo kwa madaktari 15 wa China nchini Rwanda kwa njia ya video juu ya matibabu ya COVID-19.

    Mkuu wa timu ya wataalamu wa matibabu ya COVID-19 kutoka mkoa wa Mongolia ya ndani Bw. Sun Dejun ametoa mafunzo kwa madaktari hao, ikiwa ni pamoja na dalili za ugonjwa, njia na vigezo vya kuthibitisha maambukizi, maelezo ya picha za udaktari na nyinginezo, pia wamefanya mazoezi ya matibabu. Hadi kufikia jana idadi ya watu walioambukizwa na COVID-19 nchini Rwanda imefikia 11.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako