• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RIADHA: BMT lapongeza udhamini Kili Marathon 2020

    (GMT+08:00) 2020-03-20 16:06:20

    Baraza la Michezo Tanzania, (BMT) limesema Kilimanjaro Premiul Lager ni mfano pekee wa kuigwa katika udhamini wa mchezo wa riadha nchini humo. Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premiul Lager imekuwa mdhamini mkuu wa mbio maarufu za Kilimanjaro Marathon mfululizo tangu zilipoanzishwa miaka 18 iliyopita. Kaimu Katibu Mkuu wa BMT, Bi. Neema Msita amewapongeza wadhamini hao huku akitoa wito kwa wadau wengine kujitokeza kudhamini mashindano mbalimbali katika kukuza mchezo huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako