• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za pole viongozi wa Ufaransa, Ujerumani, Hispania na Serbia

    (GMT+08:00) 2020-03-21 19:40:24

    Hivi karibuni rais Xi Jinping wa China kwa niaba ya serikali na watu wa China ametoa salamu za pole kwa viongozi wa Ufaransa, Ujerumani, Hispania na Serbia kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona.

    Katika salamu hizo za pole, rais Xi amesema China inaunga mkono kithabiti juhudi na hatua za nchi hizo katika kupambana na ugonjwa huo, kupenda kubadilishana nao uzoefu na mipango ya matibabu, na kutoa msaada na uungaji mkono kadiri iwezekanavyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako