• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Botswana ajiweka karantini baada ya ziara nchini Namibia

    (GMT+08:00) 2020-03-23 10:17:28

    Rais Mokgweetsi Masisi wa Botswana amejiweka kwenye karantini kwa muda wa siku 14 tangu Machi 21 baada ya ziara yake nchini Namibia. Ikulu ya Botswana imetoa taarifa ikisema, katika kipindi cha karantini, rais Masisi atafanyiwa upimaji wa virusi vya corona, na ataendelea na kazi akiwa nyumbani kwake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako