• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Misri awataka wananchi kukaa nyumbani kwa wiki mbili kutokana na wasiwasi wa COIVD-19

    (GMT+08:00) 2020-03-23 10:18:09

    Rais Abdel-Fattah al-Sisi amewahimiza wananchi wakae nyumbani kwa wiki mbili ili kuitikia njia za kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona nchini humo. Rais al-Sisi ametoa hotuba kwa njia ya televisheni akiwataka wananachi wakae nyumbani kwa wiki mbili ili kuzuia kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa. Hadi kufikia jumamosi iliyopita, nchi hiyo imethibitisha maambukizi 294, yakiwemo vifo 10 na wagonjwa 41 waliopona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako