• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Idadi ya vifo vinavyotokana na COVID-19 nchini Iran yakaribia 1,700

  (GMT+08:00) 2020-03-23 10:18:25

  Idadi ya vifo vinavyotokana na virusi vya Corona nchini Iran imefikia 1,685. Hadi sasa watu 21,638 wameambukizwa virusi hivyo nchini Iran, na 7,913 kati yao wamepona. Mapema ya jumapili iliyopita, serikali ya Iran iliamuru kufungwa kwa vituo vya kibiashara, isipokuwa maduka madogo na maduka ya dawa. Kituo kikubwa cha maduka cha Iran kinatumiwa kama hospitali ya muda, ambacho kimeweka vitanda 3,000 kwa ajili ya wagonjwa wa Corana.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako