• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tume ya UM nchini Sudan Kusini yaweka marufuku ya usafiri dhidi ya wafanyakazi wa kigeni

    (GMT+08:00) 2020-03-24 09:59:00

    Tume ya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS imetangaza marufuku ya siku saba kwa wafanyakazi wa kigeni kwenda Sudan Kusini, ili kuzuia kuenea kwa virusi vya Corona. Tume hiyo imetoa taarifa ikisema, njia hiyo itasaidia kuzuia kuenea kwa virusi nchini Sudan Kusini, ikiwa sehemu ya uungaji mkono unaotolewa na tume hiyo kwa juhudi za Sudan Kusini za kuzuia maambukizi ya COVID-19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako