• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki za Afrika Kusini zatoa likizo ya ulipaji mikopo kutokana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-03-24 09:59:42

    Benki za Afrika Kusini zimetoa likizo ya miezi mitatu ya kuahirisha ulipaji mikopo kwa makampuni madogomadogo na yenye ukubwa wa kati na wanafunzi kutokana na mlipuko wa virusi vya Corona. Benki ya FNB imetoa taarifa ikisema, imesisitiza tena ahadi yake kwa makampuni madogomadogo na yenye ukubwa wa kati ambayo hali zao za kifedha zinaathiriwa na mlipuko wa virusi vya Corona. Benki hiyo inaendelea kushirikiana na chama cha benki cha Afrika Kusini, Benki Kuu ya Afrika Kusini na serikali ya nchi hiyo kutafuta utatuzi kwa njia mbalimbali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako