• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Gogo Boys yapania kupanda ngazi katika Ligi nchini Kenya

    (GMT+08:00) 2020-03-24 15:59:16

    Gogo Boys inapania kujituma mithili ya mchwa kupigania tiketi ya kupandishwa ngazi kushiriki kipute cha Ligi ya Taifa Daraja la kwanza nchini Kenya katika msimu ujao. Gogo Boys ambayo iko chini ya Kocha Wilburforce Chisira ni kati ya timu zinazotikisa kwenye soka nchini Kenya msimu huu. Gogo Boys inayoshiriki mechi za Kundi A Ligi ya Taifa Daraja la Pili kwa mara ya kwanza imeonyesha wazi kuwa inakuja kwa kasi kwenye mechi za Ligi hiyo kwa msimu huu. Mlenzi wake, Dkt Ahmed Kalebi anasema ana furaha tele kwa jinsi vijana wake wanavyojitahidi kiume kufukuzia tiketi ya kushiriki soka la hadhi ya juu muhula ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako