• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Somalia: Coronavirus yaathiri wafanyibishara wa miraa

  (GMT+08:00) 2020-03-24 18:37:35

  Coronavirus imeumiza wafanyibiashara wadogo, pamoja na wauzaji wa miraa nchini Somalia.

  Somalia ilipiga marufuku ndege zote za kimataifa, pamoja na zile zilizokuwa zikibeba miraa, kwa siku 15, kama sehemu ya hatua ambayo nchi imechukua kuzuia kuenea kwa coronavirus.

  Mamia ikiwa sio maelfu ya Wasomalia ambao walitegemea biashara ya miraa kwa njia moja ama nyengine wanaweza kuathiriwa na uamuzi huo.

  Kawaida, zaidi ya ndege 15 za mizingo ya miraa kuelekea Mogadishu na miji mingine mikubwa nchini kila siku kutoka Kenya.

  miraa ina thamani ya dola milioni 840 kwa mwaka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako