• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • SOKA: Ndayiragije amgusa Kaseja kurudi Taifa Stars

  (GMT+08:00) 2020-03-25 18:29:16

  Wakati Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) Etienne Ndayiragije akisema talazimika kuita wachezaji wapya kuunda kikosi chake mara ratiba mpya ya michuano ya kuwania kufuzu Fainali za Mataifa Afrika (AFCON2021) na Fainali za Wachezaji wa Ndani (CHAN), kipa mkongwe nchini Tanzania Juma Kaseja amepania kuwemo ndani ya timu hiyo. Kaseja amesema atapambana kurejesha kiwango chake baada ya kupona maumivu ya goti ili awe fiti na kurejeshwa kwenye kikosi cha Taifa Stars kwa ajili ya fainali za CHAN. Kwa sasa Kaseja ni kipa wa timu ya KMC.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako