• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kiongozi wa Kenya atangaza hatua mpya za kupambana na virusi vya Corona

  (GMT+08:00) 2020-03-26 11:00:07

  Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametangaza kupunguza mapato ya maofisa waandamizi wa serikali ya nchi hiyo, ili kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona. Pia ametangaza hatua za kupunguza kodi ili kupunguza athari mbaya zinazotokana na ugonjwa huo kwa kila mkenya.

  Mbali na hayo, rais Kenyatta ametangaza amri ya kupiga marufuku kutoka nje wakati wa usiku kote nchini humo kuanzia Ijumaa, hatua ambayo itaanza saa moja jioni hadi saa kumi na moja asubuhi, na kuwahusisha watu wote isipokuwa wataalamu wa matibabu, wafanyakazi wa afya na watoa huduma muhimu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako