• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi: Imani na umoja ni vitu vinavyohitaji zaidi kwa jamii ya kimataifa katika kukabiliana na virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-03-26 21:29:15

    Rais Xi Jinping wa China amesisitiza kuwa, maambukizi ya virusi vya corona yanasambaa kote duniani, na jamii ya kimataifa inatakiwa kuwa na imani thabiti, kuratibu nguvu kwa moyo mmoja na kuongeza ushirikiano wa kimataifa, ili kukusanya nguvu kubwa ya pamoja na kushinda vita hiyo kati ya binadamu na ugonjwa huo mkubwa wa kuambukiza.

    Rais Xi amesema hayo leo hapa Beijing katika mkutano maalum wa wakuu wa kundi la G20 kuhusu kukabiliana na virusi vya corona uliofanyika kwa njia ya video.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako