• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Ugiriki yaishukuru China kwa msaada katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-03-27 10:54:12

    Msemaji wa serikali ya Ugiriki Bw. Stelios Petsas ameishukuru China kwa msaada iliotoa kwa nchi hiyo katika mapambano yanayoendelea dhidi ya virusi vya Corona. Ugiriki imeripoti vifo 22 kutokana na virusi hivyo na wagonjwa 821 waliothibitishwa kuambukizwa, ambao 134 kati yao wamelazwa wakiwemo wagonjwa 53 mahututi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako