• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki ya China yatoa msaada wa vifaa vya matibabu kwa Uturuki kupambana na virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-03-27 10:54:53

    Tawi la Benki ya China nchini Uturuki limetoa vifaa vya matibabu kwa Uturuki, ili kuisaidia nchi hiyo kupambana na mlipuko wa virusi vya Corona. Shehena ya mzigo huo ni pamoja na maski elfu ishirini za ngazi ya upasuaji, nguo elfu moja za kujikinga, jozi elfu moja za glavu za matumizi ya matibabu na miwani 200 imepelekwa kwa idara ya afya ya Istanbul.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako