• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yaongoza duniani kwa idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-03-27 10:57:22

    Kwa mujibu wa Kituo cha Sayansi na Uhandisi CSSE kwenye Chuo Kikuu cha Johns Hopkins, watu 82,404 wameripotiwa kuambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani, na kuifanya Marekani kuwa nchi yenye idadi kubwa zaidi ya watu walioambukizwa virusi hivyo duniani. Idadi ya watu walioambukizwa virusi hivyo imeongezeka kwa zaidi ya watu elfu kumi ndani ya saa tano nchini Marekani.

    Takwimu kutoka CSSE zimeonesha kuwa, idadi ya watu waliothibitishwa kuambukizwa virusi vya Corona imefikia 526,044 duniani, na 23,709 wamefariki kwa virusi hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako