• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CORONA: Ligi kuu England yapigwa tena kalenda

    (GMT+08:00) 2020-03-27 12:15:13

    Baada ya Ligi Kuu England wiki iliyopita kutangazwa kuwa imesogezwa mbele hadi Aprili 30, jana imethibitika taarifa mpya kuwa Ligi hiyo haitorejea April 30. Chama cha soka cha England (FA) kilitangaza kuwa Ligi zote za soka England ikiwemo EPL zinasimama hadi April 4, baadae wakasogeza hadi April 30 ila jana kwa mujibu wa mailsports.co.uk Ligi hairejei tena April 30. Tarehe mpya wa mechi za Ligi Kuu England msimu wa 2019/2020 itatangazwa wiki ijayo, hii inatokana na hofu ya virusi vya corona kuzidi kutanda kila kona duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako