• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Benki kuu ya Uganda yapunguza muda wa kazi wa benki zote nchini Uganda.

    (GMT+08:00) 2020-03-30 16:56:52
    Kutokana na kuenea kwa virusi vya corona nchini Uganda, benki kuu nchini humo imetoa mwelekeo kwa taasisi zote za kifedha. Mwelekeo huo ni kupunguzwa kwa muda wa kazi kwa benki zote Uganda.

    Kwa mujibu wa taarifa hiyo, taasisi zote za kifedha nchini humo zitafunguliwa kuanzia saa tatu za asubuhi na kufungwa saa tiza alasiri. Hakuna benki itaruhusiwa kufanya kazi wikendi.

    Awali, baadhi ya benki zilikuwa zikifunguliwa saa mbili za asubuhi na kufungwa saa moja za jioni, na vile vile kufunguliwa wikendi. Hatua hii ni mojawapo ya mikakati ya kuzuia maambukiziya virusi vya korona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako