• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona nchini Marekani yazidi laki 1.6

    (GMT+08:00) 2020-03-31 08:48:49

    Takwimu kutoka chuo kikuu cha Johns Hopkins zinaonyesha kuwa, idadi ya watu walioambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani imezidi laki 1.6, na kuifanya Marekani kuwa nchi yenye idadi kubwa zaidi ya maambukizi hayo kote duniani.

    Takwimu hizo pia zinaonyesha kuwa, idadi ya jumla ya maambukizi kote duniani imefikia 777,286, na idadi ya vifo kutokana na virusi hiyo imefikia 37,140.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako