• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hospitali 61 mjini Wuhan ziko tayari kuwapokea wagonjwa wasio na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-03-31 09:04:01

    Serikali ya mji wa Wuhan imesema hospitali 61 zilizoteuliwa kuwatibu wagonjwa wa COVID-19 zimefunguliwa tena kwa umma baada ya kusafishwa kwa dawa.

    Naibu katibu mkuu wa serikali Bw. Li Tao amesema hospitali nyingine tano pia zitaanza kuwapokea wagonjwa wasio wa COVID-19 katika siku zijazo.

    Bw. Li amesema kuwa kutokana na idadi ya wagonjwa wa COVID-19 katika mji huo kuendelea kupungua, wagonjwa wa COVID-19 wamehamishwa katika hospitali za kiwango cha juu ili kupata matibabu kwa pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako