• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Saudi Arabia kuongeza uuzaji wa mafuta nje

    (GMT+08:00) 2020-03-31 09:32:26

    Ofisa wa Wizara ya Nishati ya Saudi Arabia amesema nchi hiyo inapanga kuongeza uuzaji wa mafuta ghafi nje ya nchi kutoka mapipa milioni 10 kwa siku hadi mapipa milioni 10.6 kwa siku kuanzia mwezi Mei. Shirika la habari la Saudi Arabia siku hiyo limemnukuu ofisa wa Wizara ya Nishati ya Saudi Arabia likiripoti kuwa, kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona, mawasiliano na uchukuzi yamepungua nchini humo, hali ambayo imesababisha kupungua kwa matumizi ya mafuta ghafi nchini, na hivyo Saudi Arabia inaamua kuongeza uuzaji wa mafuta ghafi nje ya nchi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako