• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chansela wa Ujerumani apimwa kwa mara ya tatu na kuonesha kutoambukizwa virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-03-31 09:32:51

    Msemaji wa Chansela wa Ujerumani Bw. Steffen Seibert amesema amesema Chansela wa Ujerumani Bibi Angela Merkel amefanyiwa upimaji kwa mara ya tatu na kuonesha kutoambukizwa virusi vya Corona. Bw. Seibert amesema kwenye taarifa kuwa Bibi Merkel ataendelea na kazi katika siku zijazo.

    Bibi Merkel mwenye umri wa miaka 65 amejiweka karantini nyumbani tangu tarehe 22 Machi, baada ya kufahamu kuwa daktari aliyempa chanjo ya nimonia kuthibitika kuambukizwa virusi vya Corona. Bibi Merkel alikuwa anaendelea na kazi kwa njia ya simu na video.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako