• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wataalamu wa matibabu wa China wa Pakistan wabadilishana uzoefu kuhusu kinga na tiba ya COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-03-31 09:59:45

    Timu ya wataalamu wa matibabu wa China waliotumwa nchini Pakistan wamebadilishana uzoefu kuhusu kinga na tiba ya COVID-19 na wenzao kutoka Kituo cha Afya cha Pakistan.

    Profesa Nasim Akhtar wa magonjwa ya kuambukiza kutoka Chuo cha Udaktari cha Pakistan amewashukuru wataalamu wa China na kusema uzoefu wa China kuhusu kinga na tiba ya COVID-19 ni muhimu sana kuisaidia Pakistan kupambana na ugonjwa huo.

    Mkurugenzi wa kitengo cha tiba mionzi katika Akademia ya Udaktari ya Pakistan Ayesha Majeed, anaona njia ya kisasa ya upimaji wa haraka wa COVID-19 iliyotolewa na wataalamu wa China itawasaidia madaktari kuthibitisha mapema watu wanaoshukiwa kuambukizwa ugonjwa huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako