• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hotuba ya rais Xi Jinping kutolewa kwenye Jarida la Qiushi

    (GMT+08:00) 2020-03-31 17:05:54

    Hotuba muhimu ya rais Xi Jinping, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China, kuhusu kazi ya kuzuia na kudhibiti COVID-19 katika mkoa wa Hubei itachapishwa Jumatano katika Jarida la Qiushi.

    Rais Xi, alitoa hotuba hiyo wakati wa ziara yake ya ukaguzi katika mkoa wa Hubei iliyofanyika tarehe 10 mwezi huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako