• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya Rivatex kuanza uzalishaji wa barakoa

    (GMT+08:00) 2020-03-31 19:04:06
    Jaribio la serikali kupunguza kuenea kwa virusi vya corona nchini kampuni ya Rivatex East Africa Limited iliyopo Eldoret imeanza uzalishaji wa barakoa.

    Barakoa hizo zinatarajiwa kusambazwa kwa Serikali ya Kitaifa kwa matumizi katika vita dhidi ya ugonjwa wa corona.

    Akiongea ofisini kwake mkurugenzi mtendaji wa Rivatex East Africa Limited Prof Thomas Kurgat amesema kampuni hiyo ina uwezo wa kutoa Barakoa 1,200 kwa siku.

    "aidha amesema hii ni hatua inayolenga kusaidia serikali katika mapambano yake endelevu dhidi ya kuenea kwa virusi corona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako