• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CORONA: Rais wa zamani wa klabu ya Olympique Marseille Pape Diouf fariki dunia kwa corona

    (GMT+08:00) 2020-04-01 08:56:35

    Rais wa zamani wa klabu ya Olympique Marseille ya Ufaransa Pape Diouf mwenye miaka 68, afariki dunia kutokana na maambukizi ya virusi vya corona, Diouf toka Jumamosi alikuwa amewekewa mashine maalum ya kusaidia mfumo wake wa upumuaji. Pape Diouf aliyewahi kuwa Rais wa Marseille kuanzia 2005-2009 aliandika historia ya kuwa mtu wa kwanza mweusi kuwa Rais wa klabu ya soka Ulaya, enzi za uhai wake Diouf alikuwa mwandishi wa habari na wakala wa wachezaji. Mauti yamemkuta akiwa Dakar Senegal, familia yake ilitaka asafirishwe kutoka Senegal akatibiwe Ufaransa lakini haikuwezekana kutokana na aina ya ugonjwa aliokuwa anaumwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako