• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Corona yaifanya Fifa kuyanusuru mashirikisho ya soka yaliyoporomoka kiuchumi

    (GMT+08:00) 2020-04-01 08:57:31

    Baada ya mlipuko wa virusi vya corona kutokea na kutangazwa kama janga la kidunia, mambo mengi na taasisi nyingi za soka zimeyumba kiuchumi kutokana kusimama kwa Ligi. Shirikisho la mchezo wa soka Ulimwenguni FIFA linapanga kuandaa mpango maalum wa kuzipatia pesa taasisi za soka ambazo zimeyumba kiuchumi. FIFA ina mfuko wa akiba wa pesa kwa ajili ya mambo ya dharura ila kutokana na janga hili, sasa imekiri wazi ni wakati sahihi kutumika kwa ajili ya kunusuru taasisi hizo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako