• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Nahodha wa Aston Villa aomba radhi na kurambwa faini kwa kukaidi amri ya kukaa ndani

    (GMT+08:00) 2020-04-01 08:58:33

    Nahodha wa Aston Villa Jack Grealish ameomba radhi baada ya kuvunja agizo la Serikali la kujifungia ndani wakati huu wa mlipuko wa virusi vya Corona. Grealish, amesema rafiki yake ndiye amemshawishi kufanya kosa hilo. Amesema kila mtu kujifungia ndani ni wakati mgumu kwa sasa, na alipata simu kutoka kwa rafiki yake akitaka akamuone kwake, na kwa ujinga, alikubali kufanya hivyo. Amesisitiza kuwa hataki mtu yeyote afanye kosa kama hili. Licha ya kuomba radhi kwa kukaidi agizo la serikali klabu yake imempiga faini ya £150,000 ambayo itatolewa kama msaada katika Hospitali ya kijamii ya Chuo Kikuu cha Birmingham.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako