• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa Russia na Marekani waona bei ya sasa ya mafuta hailingani na maslahi ya nchi hizo mbili

    (GMT+08:00) 2020-04-01 09:44:15

    Ofisa habari wa rais wa Russia Bw. Dmitry Peskov ameeleza kuwa marais wa Russia na Marekani wanaona bei ya sasa ya mafuta haziendani na maslahi ya nchi hizo mbili. Amesisitiza kuwa nchi hizo mbili zitafuata maagizo ya viongozi wao kuanzisha majadiliano kuhusu hali ya soko la mafuta. Lakini hakujibu swali kama Russia na Marekani zitachukua hatua ya pamoja kuhusu bei ya mafuta.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako