• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Syria yajibu shambulizi la makombora kwenye mkoa wa Homs

    (GMT+08:00) 2020-04-01 09:44:41

    Kituo cha Televisheni cha Syria kimeripoti kuwa vikosi vya ulinzi wa anga vya Syria vimejibu shambulizi la makombora lililofanywa na Israel katika Mkoa wa Homs katikati ya Syria. Ndege za kivita za Israel zilirusha makombora kutoka anga ya Lebanon, na kuongeza kuwa makombora kadhaa yamezuiliwa. Shabaha halisi ya shambulizi hili bado haijajulikana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako