• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • FAO yasisitiza kuzuia njaa inaosababishwa na maambukizi ya virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-04-01 18:08:50

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa Bw. Qu Dongyu amesisitiza kuwa nchi zote duniani zinapaswa kuchukulia hatua za haraka ili kupunguza kwa kiwango kikubwa athari mbaya kwa usalama wa chakula kutokana na maambukizi ya virusi vya Corona, pia kuzuia hali ya wasiwasi ya chakula utakaosababisha kupungua kwa upatikanaji wa chakula au kuongezeka kwa bei ya chakula.

    Katika taarifa yake, Bw. Qu amesema, hadi sasa maambukizi hayo hayajaathiri usalama wa chakula, na haina haja ya kuwa na wasiwasi na hofu, lakini ni lazima kukabiliana na changamoto zinazoweza kutokea katika sehemu zilizokuwa na ukosefu wa chakula.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako