• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China asema, kuzuia maambukizi kutoka nje ni kipaumbele cha muda mrefu

    (GMT+08:00) 2020-04-01 18:16:48

    Rais Xi Jinping wa China amesema, nchi hiyo itatoa kipaumbele kwa sasa na kwa muda mrefu katika kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona kutoka nje.

    Rais Xi amesema hayo wakati wa ziara ya ukaguzi aliyoifanya mkoani Zhejinag, mashariki mwa China. Amesema hali ya mlipuko nchini China ina mwelekeo mzuri, na kilele cha mlipuko wa virusi vya Corona nchini humo kimeshapita.

    Hata hivyo, amesema hatari inayotokana na kesi za maambukizi kutoka nchi za nje imeongezeka kutokana na kuenea kwa kasi kwa virusi hivyo duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako