• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CORONA: UEFA yaahirisha Champions League na Europa League kwa muda usiojulikana

    (GMT+08:00) 2020-04-02 08:42:21

    Shirikisho la soka Ulaya UEFA jana lilitangaza maamuzi magumu kuhusiana na michuano ya UEFA Champions League na UEFA Europa League wakati huu wa mlipuko wa virusi vya corona. UEFA wametangaza kuahirisha michuano yote hiyo kwa muda usiojulikana kutokana na mlipuko wa virusi vya corona kuendelea kushika kasi. Licha ya kuwa imesimamishwa michuano hiyo kwa muda usiojulikana lakini inaripotiwa kuwa inaweza kuendelea Julai au Agosti 2020, hii pia ni kupisha Ligi za ndani ziweze kumalizika na kuangalia maambukizi ya corona kama yatakuwa yamepungua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako