• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani kuwa nchi ya kwanza yenye maambukizi ya COVID-19 zaidi laki 2

    (GMT+08:00) 2020-04-02 08:54:50

    Takwimu mpya kutoka chuo kikuu cha Johns Hopkins cha Marekani zinaonyesha kuwa, Marekani imekuwa nchi ya kwanza yenye maambukizi ya virusi vya Corona zaidi laki 2.

    Hadi jana mchana watu zaidi ya 203,608 walithibitishwa kuambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani, na 4,476 kati yao wamefariki. Barani Ulaya maambukizi ya COVID-19 yanatajwa kufikia laki 5.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako