• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Trump akaribisha juhudi za China kuzisaidia nchi nyingine kupambana na COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-04-02 09:03:26

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema anakaribisha juhudi za China kutoa vifaa vya kinga kwa nchi na sehemu zilizokumbwa na COVID-19.

    Alipoulizwa kama China "inachukua nafasi ya uongozi duniani" katika mapambano dhidi ya COVID-19, rais Trump amesema China kuzisaidia nchi zingine kutasaidia mapambano dhidi ya ugonjwa huo.

    Rais Trump amesema hivi sasa nchi 151 zimekumbwa na COVID-19, na ameeleza matumaini yake kuwa China na nchi nyingine zenye vifaa vya ziada vya matibabu zitavitoa kwa nchi zenye mahitaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako