• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Taasisi ya Iran yatangaza kuwa inaweza kutengeneza vitendanishi vya kupima virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-04-02 09:56:21

    Taasisi ya Pasteur ya Iran imesema Iran inaweza kutengeneza vitendanishi vya kupima virusi vya Corona, huku ikiwa tayari kuuza vitendanishi hivyo kwa nchi za nje. Taasisi hiyo imesema, kampuni tano za Iran zimeshiriki kwenye utengenezaji wa vitendanishi hivyo, moja kati yao imetangaza kutengeneza vitendanishi elfu 80 kwa wiki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako