• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Polisi Tanzania yatangaza rasmi kumwania Ndemla

    (GMT+08:00) 2020-04-02 16:41:15

    Katika kuhakisha inakuwa na kikosi imara katika msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara, uongozi wa Polisi Tanzania unajiandaa kuwasilisha ofa ya kumsajili kiungo wa Simba, Saidi Ndemla. Taarifa za ndani zinasema, Ndemla ambaye alifaulu majaribio ya kujiunga na klabu ya AFC Eskilstuna ya Sweden, amekataa kusaini mkataba mpya na Simba kutokana na kujiandaa kuelekea nchini Sweden kujiunga na klabu hiyo akiwa mchezaji huru baada ya awali kushindwa kulipa dau walilotakiwa. Katika msimu huu wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Polisi Tanzania iko nafasu ya sita, ikiwa na pointi 46 baada ya kucheza mechi 29, huku vinara wa Ligi hiyo Simba wakiwa na pointi 71 wakifuatwa na Azam wenye pointi 54.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako