• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yapeleka mask milioni 22 nchini Italia

    (GMT+08:00) 2020-04-02 17:39:16

    Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Italia Luigi Di Maio amesema, tangu kutokea kwa maambukizi ya virusi vya Corona nchini humo, Italia imepata mask karibu milioni 30 kutoka nchi za nje, na kati yao, milioni 22 zimetoka China.

    Luigi amesema baada ya mlipuko huo kutokea, aliwasiliana na mawaziri wa mambo ya nje wa nchi mbalimbali ikiwemo China, ili kupata misaada ya dharura ya vifaa vya kukinga virusi, wakati huohuo nchi hiyo imejitahidi kununua vifaa hivyo kote duniani. Amesema Italia imesaini mikataba na kampuni za China wa kununua mask milioni 180, na hadi sasa mask milioni 7 zimeshapelekwa nchini Italia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako