• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mchakato wa kubadilishana wafungwa kati ya serikali ya Afghanistan na Taliban waahirishwa tena

    (GMT+08:00) 2020-04-03 09:10:09

    Televisheni ya Afghanistan imetangaza kuwa mchakato wa kubadilishana wafungwa kati ya serikali na kundi la Taliban umeahirishwa kwa mara ya tatu. Habari zinasema mchakato wa kuwaachia huru wafungwa wa Taliban uliopangwa kufanyika alhamisi, umeahirishwa na huenda utatekelezwa jumamosi. Ujumbe wa Taliban uliwasili Kabul jumanne , na mazungumzo kuhusu kubadilishana wafungwa yalifanyika hadi alhamisi, lakini hakuna mambo halisi yaliyotangazwa kuhusu mazungumzo yaliyofanyika alhamisi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako