• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UNICEF yaishukuru China kwa msaada wake katika huduma za afya kwa akina mama na watoto barani Afrika

    (GMT+08:00) 2020-04-03 09:10:54

    Shirika la kuhudumia watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF limeshukuru msaada wa China kwa juhudi zake katika kuboresha huduma za afya kwa akina mama na watoto barani Afrika, hasa nchini Ethiopia.

    Kwenye taarifa yake iliyotolewa jana Alhamisi, UNICEF imesema China kupitia shirika lake la misaada la kimataifa, Shirika la Ushirikiano wa Maendeleo la China CIDCA, imechangia dola za kimarekani milioni 1 ili kuboresha huduma za afya kwa watoto wachanga nchini Ethiopia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako