• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shughuli ya kutangaza maonyesho ya tatu ya CIIE kwenye mtandao wa Internet yafanyika barani Afrika

    (GMT+08:00) 2020-04-03 09:11:39

    Shughuli ya kutangaza maonyesho ya tatu ya uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya China CIIE kwenye mtandao wa Internet barani Afrika, imefanyika jana. Benki ya viwanda na biashara ya China ICBC na benki ya Standard ya Afrika ya Kusini, zimefanya shughuli hiyo kwa kutumia mtindo mpya wenye uvumbuzi wa bila kukutana uso kwa uso kwenye mtandao wa Internet. Wajumbe kutoka nchi 12 za Afrika wameshiriki kwenye shughuli hiyo na kusikiliza hali ya jumla ya maonyesho ya 3 ya CIIE.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako