• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wafanyabiashara bodaboda wakosa wateja

    (GMT+08:00) 2020-04-03 18:27:39
    Wafanya biashara wa Bodaboda Zanzibar wamesema ugonjwa wa corona umesababisha biashara hiyo kuwa ngumu kwa kukosa wateja.

    Wakizungumza na radio China kimataifa, walisema kuwa wateja wao zaidi ni wafanyakazi wa hoteli za kitalii na hatua ya kufungwa kwa hoteli hizo kutokana na corona kumewafanya kukosa wateja.

    Hali ngumu ya biashara haipo kwa wafanyabiashara wa boda boda pekee, madereva wa taksi wanalalamikia ugumu wa biashara kutokana na corona hali ambayo imesababisha wateja kukosekana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako