• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya wagonjwa wa virusi vya Corona yazidi milioni 1.1 duniani

    (GMT+08:00) 2020-04-04 18:50:20

    Idadi ya wagonjwa waliothibitishwa kuwa na virusi vya Corona imezidi milioni 1.1. Takwimu za Chuo Kikuu cha Johns Hopkins zilizokusanywa Jumamosi zinasema watu 1,118,921 wamethibitishwa kuambukizwa na virusi vya Corona kote duniani, 58,937 kati yao wamefariki na 226,000 wamepona.

    Marekani imeripoti kuwa na maambukizi mengi zaidi, ambayo yamezidi 277,965, Italia maambukizi karibu 120,000 na vifo 14,600, ambavyo ni vingi zaidi kuliko nchi nyingine. Hispania pia imeripoti maambukizi 120,000 na vifo 11,198.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako