• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya vifo kutokana na COVID-19 yafikia 313 barani Afrika

    (GMT+08:00) 2020-04-04 19:11:06

    Kituo cha kudhibiti na kuzuia magonjwa cha Afrika (Afrika CDC), kimesema kuwa idadi ya vifo kutokana na virusi vya Corona barani Afrika imefikia 313 wakati idadi ya watu waliothibitishwa kuambukizwa virusi hivyo imefikia 7,741, na kwamba wagonjwa hao wameenea katika nchi 50 barani humo.

    Shirika hilo limesema nchi zinazoathiriwa vibaya zaidi ni pamoja na Afrika Kusini yenye idadi ya watu 1,505 waliothibitishwa, Algeria yenye idadi ya watu 986 waliothibitishwa na Misri yenye idadi ya watu 985 waliothibitishwa. Pia limeripoti kuwa watu 753 ambao waliambukizwa virusi hivyo wamepona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako