• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sudan Kusini yathibitisha kesi ya kwanza ya virusi vya Corona

    (GMT+08:00) 2020-04-05 19:37:33

    Sudan Kusini imethibitisha kesi yake ya kwanza ya virusi vya Corona leo Jumapili.

    Sudan Kusini ni nchi ya 51 barani Afrika kuripoti kuwa na mgonjwa wa Corona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako