• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zanzibar: Waendeshaji boda boda walia kukosa wateja

    (GMT+08:00) 2020-04-06 18:55:50

    Tukiwa bado tumesalia Zanzibar ni kwamba, wafanyibiashara wa Bosaboda wamesema kwamba ugonjwa wa corona umesababisha biashara hiyo kuwa ngumu kwa kukosa wateja.

    Walioathirika zaidi ni wale wa mjini, ambao wanasema kwamba wateja wao wengi ni wafanyikazi wa hoteli za kitalii, na hatua ya kufungwa kwa hoteli hizo kutokana na corona, wamekosa wateja wao.

    Si wao pekee. Madereva wa teksi wanalalamika ugumu wa biashara kutokana na corona, hali ambayo imesababisha wateja kukosekana. Ikumbukwe kwamba, hali hii ni sawa na iliyopo katika miji mingi hapa Kenya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako