• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ushindani waondoa choppies Kenya na Tanzania

    (GMT+08:00) 2020-04-08 18:50:07

    Maduka makubwa ya Choppies kutoka Botswana yamefunga matawi yake yote nchini Kenya na Tanzania kutokana na ushindani mkubwa.

    Usimamizi wa maduka ya Choppies umesema pia umefunga maduka yake nchini Msubiji na biashara zake nchini Afrika Kusini zitauzwa kwa mnanda.

    Hata hivyo Choppies itaendelea na opareshen zake ndani ya Botswana

    Pia maduka hayo yamewekeza dola milioni 12 na kupanga upya usimamizi wake ili kurejesha hali ya kawaida ya biashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako